RITA imewaonya wanaoghushi vyeti vya Kuzaliwa
Wakala wa usajili, Ufilisi, na udhamini nchini Tanzania RITA imewatahadharisha wananchi juu ya kuwepo kwa watu wachache wanaowadanganya wananchi kwa kutaka kuwatengenezea vyeti vya kuzaliwa pasipo kufuata utaratibu wa RITA.

