AY, Faraja Kotta waukwaa ubalozi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF, limemteua msanii Ambwene Yessyah a.k.a AY, pamoja na aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta Nyalandu kama Mabalozi wao katika ‘Kampeni ya Tokomeza Ukatili Dhidi ya Watoto.’
