Stars yaenda Mbeya kuiwinda Msumbiji
Shirikisho la soka nchini TFF limesema timu ya Taifa stars itakwenda Msumbiji siku moja kabla ya mchezo ili kuepusha hujuma na vituko vya nje ya uwanja mabavyo vitaweza kuwavuruga wachezaji wa timu hiyo kisaikolojia na kuwatoa kimchezo

