Kesi ya Nasra yafikishwa kwa Mwanasheria Mkuu

Marehem mtoto Nasra enzi za uhai wake akiwa na baba yake

Kesi ya mauaji ya mtoto nasrah mvungi inayowakabili washtakiwa watatu imeingia katika hatua nyingine baada ya jalada la kesi hiyo kupelekwa kwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS