Vita Azam na Simba Jumapili Taifa
Ligi kuu ya soka Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea mwishoni mwa wiki hii kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, huku michezo mitatu ikichezwa hapo kesho na michezo mingine mitatu ikichezwa siku ya Jumapili.