BAADA YA KIMYA KIREFU, MR. CHEKA AIBUKA NA NACHEKA
Msanii aliyewahi kutamba kwenye gemu la Bongo fleva mwaka 2004, kwa wimbo wake uitwao nitacheka ambao alimshirikisha Dully Sykes na Mh. Temba sasa amerudi rasmi kwenye gemu upya na wimbo mpya uitwao NACHEKA ambao amewashirikisha

