'Moroz' apoteza maisha kwenye ajali
Kutoka katika ajali mbaya kabisa ya basi la abiria - daladala na bodaboda iliyotokea huko Uganda na kuua watu watano papo kwa papo, msanii Vicent Semmambo, aliyekuwa akitambulika kisanaa kama Moroz amefariki dunia.