Mzungu Kichaa asifia Bendi,'Ajiachia' na Malfred
Msanii wa muziki Mzungu Kichaa ameeleza kuwa, kando ya muziki ambao unachezwa mara nyingi na kila siku katika vituo mbalimbali, kuna sekta muhimu kabisa ya muziki wa Live ambayo inakuwa kwa kasi na kuwakilisha nchi vizuri kitaifa na kimataifa.