Aziz Azion amtimua meneja wake Aziz Azion Staa wa muziki wa nchini Uganda, Aziz Azion amemfukuza kazi aliyekuwa meneja wake ambaye anafahamika kwa jina Bashir, kwa tuhuma za ubadhirifu. Read more about Aziz Azion amtimua meneja wake