Wakazi Dodoma wataka migogoro ya Ardhi kutatuliwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.

Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wamemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kufika katika mkoa huo na kutatua migogoro ya ardhi inayowakabili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS