Singano kusaini mkataba mpya Simba
Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini TFF umesema utata wa kimkataba uliopo kati ya mchezaji wa Klabu ya Simba Ramadhani Singano Messi na Klabu yake ya Simba utamalizwa katika mkataba mpya utakaosajiliwa na mchezaji huyo katika msimu ujao wa ligi kuu.