UKAWA Njombe wapongeza ujio wa Lowassa

Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akizungumza na Waandishi wa Habari hivi karibuni

Wananchi na wafuasi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Mkoa wa Njombe wamesema kuwa wanaimani na ujio wa Waziri mstaafu katika Umoja wao kwa kuongeza nguvu ya kuing'oa CCM madarakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS