Shule yafungwa miezi miwili kwa ukosefu wa Vyoo
Shule ya msingi juhudi wilaya Morogoro imefungwa kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na kukosa choo ambapo wazazi wamelazimika kuchangishana na kujenga matundu ya vyoo lakini hadi sasa serikali haijafungua shule hiyo huku wanafunzi wakizagaa mitaani