Watatu wajeruhiwa vurugu za kampeni CCM, Mara
Watu watatu wamelazwa katika hospitali teule ya shirati wilayani rorya baada ya kujeruhiwa vibaya katika ugomvi ambao unadaiwa kuhusishwa na kampeni za kisiasa za wagombea wa ubunge wa Chama Cha Mapindizi katika jimbo la Rorya