Ibrahim Messi arejea Coastal Union miaka miwili
Timu ya Coastal Union ya jijini Tanga imeendelea kujiimarisha vilivyo katika safu mbalimbali ambapo jana ilifanikiwa kuingia mkataba wa kuitumikia timu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili aliyekuwa winga wa kulia wa Simba,Ibrahim Twaha “Messi”.