Azam yatinga nusu fainali Kagame, kukutana na KCCA
Azam Fc inakutana na KCCA ya Uganda katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Kagame baada ya kuwafunga mabigwa wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara Young African kwa mikwaju 5-4 ya penati baada ya kumalizika dakika 90 wakiwa sare ya bila kufungana.