Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye ajiunga UKAWA

Waziri mkuu msataafu wa awamu ya tatu Mh. Fredrick Sumaye

Waziri Mkuu mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Fredrick Sumaye ametangaza kujiondoa rasmi katika chama tawala nchini Tanzania CCM na kujiunga na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS