Vijana wenzangu tuzinduke, tujitambue. Kama kijana nna wajibu wa kupiga kura na kuleta mabadiliko katika jamii na siyo kumtegemea mtu. Vijana wenzangu ebu tuzinduke basi, tujitambue. Read more about Vijana wenzangu tuzinduke, tujitambue.