Banda nje Stars siku 21 kuikosa mechi na Nigeria
Beki na kiungo mkabaji wa Simba, Abdi Banda ameondolewa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachoivaa Nigeria katika mechi itakayopigwa jijini Dar es Salaam Septemba 9 mwaka huu kutokana na kuwa majeruhi.

