Maambuki ya VVU yaongezeka Mkoani Kigoma
Maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi yameongezeka katika mkoa wa Kigoma kutoka asilimia 1. 8 mwaka 2008 hadi asilimia 3.4 hivi sasa hali ambayo inahatarisha afya na kuongeza idadi ya vifo hasa kwa akinamama wakati wa kujifungua.
