Azam Fc kucheza mechi ya kirafiki na Ndanda kesho Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, Azam FC wameondoka jijini Dar es Salaam kwenda Mtwara kwa mchezo mmoja wa kirafiki utakaopigwa hapo kesho. Read more about Azam Fc kucheza mechi ya kirafiki na Ndanda kesho