Mwanaume mmoja auwawa kikatili hotelini Arusha
Mwanaume mmoja ambaye amejulikana jina moja la Reginald, mkazi wa Karatu, amekutwa asubuhi akiwa amefariki, ndani ya hoteli ya A.Square Belmont,iliopo katikati ya Jiji la Arusha, huku baadhi ya viungo vyake vya kichwa, sehemu za siri,

