Tupo tayari kuvaana na Nigeria - Mkwasa

Kocha mkuu wa timu ya Tanzania Taifa Stars Charles Mkwasa amesema vijana wake wapo tayari kuwavaa Nigeria Septemba 05, 2015 katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS