Azam FC kujipima na JKT Ruvu kesho Mabingwa wa Kombe la Kagame Azam FC wanatarajiwa kushuka dimbani hapo kesho katika mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Read more about Azam FC kujipima na JKT Ruvu kesho