Sumaye aendelea kumsafisha Lowassa mikoani
WAZIRI mkuu mstaafu Fredrick Sumaye amesema kuwa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) waziri wa zamani Edward Lowassa hakuwa na kosa wakati wa Richmond alijitoa kafara kwaajili ya nchi na ndio maana hakufukuzwa kazi.
