Aliyekuwa mgombea urais kupitia CCM,na mbunge aliemaliza muda wake wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba
Aliyekuwa mgombea urais kupitia CCM, Januari Makamba amesema kuwa vyama vya upinzani havipaswi kupewa uongozi wa nchi kwa kuwa havina sera zinazoeleweka wala demokrasia ya kweli.