Azam FC kumaliza na Ruvu Shooting kuelekea ligi
Mabingwa wa Kombe la Kagame, Timu ya Azam FC imesema mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa hapo kesho uwanja wa Mabatini mkoani Pwani utakuwa wa mwisho kwa ajili ya kuelekea kwenye msimu mpya wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara.

