Twiga Stars waahidi ushindi All Africa Games Timu ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars inayoondoka leo kuelekea nchini Congo Brazzaville kushiriki mashindano ya All Africa Games imesema inajihakikishia kufanya vizuri katika michuano hiyo. Read more about Twiga Stars waahidi ushindi All Africa Games