Vijana tujitokeze kwa wingi kwenye uchaguzi mkuu, Octoba 25. Ni zamu yetu sisi vijana kwa pamoja kumchagua kiongozi aliye bora ili kuleta maendeleo kwa taifa letu. #ZamuYako2015. Read more about Vijana tujitokeze kwa wingi kwenye uchaguzi mkuu, Octoba 25.