Mkwasa aongeza 10 Stars kuwavaa Nigeria Septemba 9
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.