Noah PV: Watanzania tupigeni kura kwa wingi

Msomi na Msanii wa muziki Noah PV

Msomi na Msanii wa muziki Noah PV ameongezea nguvu harakati za kampeni kuhamasisha watanzania kushiriki katika zoezi zima la kupiga kura, na hii ni kupitia projekti ambayo inasimama kwa jina 'Kura Yako'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS