Radio, Weasel kuungana na Museveni
Wasanii wa muziki Radio na Weasel kutoka nchini Uganda, wanatarajiwa kuongeza nguvu katika safari ya kampeni ya chama tawala cha nchi hiyo kupitia project yao inayotambulika kama “President Museveni Neera Neera Project.” itakayoanza hivi karibuni.

