Peter Okoye kunyanyua wasakata dansi
Msanii wa muziki Peter Okoye kutoka kundi la P Square ameamua kutumia uwezo wake wa kusakata dansi kutengeneza nafasi ya wenye kipaji kama hicho kuonesha uwezo wao kupitia kipindi cha uhalisia kinachofahamika kama Dance with Peters.

