UKAWA kukirudisha kiwanda cha chai Njombe
UMOJA wa katiba ya wananchi UKAWA wamesema kuwa wakiingia madarakani wataanza kushugulikia kiwanda cha chai cha Ivyulu, Lupembe ambacho kimefungwa kutokana na mgomo wa wananchi kuchuma chai na kuwapo kwa kesi mahakamani.
