TASWA kutoa tuzo kwa Rais Kikwete na wanamichezo Chama cha waandishi wa Habari za Michezo nchini TASWA kinatarajia kutoa tuzo kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na wana michezo 10 waliofanya vizuri zaidi ndani ya miaka 10 ya Rais wa Tanzania. Read more about TASWA kutoa tuzo kwa Rais Kikwete na wanamichezo