Witnesz: Vijana sasa wamebadili mitazamo
Diva wa miondoko ya Hip Hop Witnesz amepinga mtazamo hasi kuwa muamko wa vijana kisiasa unatokana na kufuata mkumbo, akiamini kuwa mtazamo huo unatokana na imani kuwa mambo ya siasa pamoja na nafasi za uongozi ni kwa ajili ya wazee pekee.

