Sauti Sol wamtaka John Legend

wasanii wa kundi la Sauti Sol la nchini Kenya

Kundi la muziki la Sauti Sol limeanzisha kampeni maalum yenye lengo la kumvuta staa wa kimataifa John Legend kutoka Marekani, lengo likiwa ni kukamilisha mpango wa kufanya naye remix ya ngoma yao ya 'Isabella'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS