Mazoezi ya vitendo yanatoa muelekeo mzuri - DAREVA Chama cha Mpira wa Wavu Mkoa wa Dar es salaam DAREVA kimesema, kimeanza kupata muelekezo mzuri katika kozi ya waamuzi wa mpira wa wavu wa Ufukweni baada ya kutoa elimu hiyo kwa vitendo. Read more about Mazoezi ya vitendo yanatoa muelekeo mzuri - DAREVA