Emmanuel Mbasha ashinda majaribu
Msanii wa muziki wa Injili nchini Tanzania, Emmanuel Mbasha ameongea na eNewz kuelezea furaha na shukrani zake baada ya kushinda kesi ya tuhuma za kubaka iliyokuwa ikimkabili kutokana na mkubwa wa kifamilia aliokuwa nao na mkewe.

