Wanaosema CCM haijafanya kitu wajipime-Magufuli

Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi Mh. Dkt. John Magufuli

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mh. Dkt. John Magufuli amewataka viongozi waliohamia upinzani kuwaomba radhi wananchi kwa kutowaletea maendeleo wakati wa uongozi wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS