Lowassa asema atapitia upya mikataba ya gesi

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia (UKAWA), Mhe. Edward Lowassa.

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia (UKAWA), Mhe. Edward Lowassa amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais ataunda tume kwa ajili ya kuchunguza upya mikataba ya gesi na mafuta.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS