Tufanye maamuzi sahihi ifikapo Octoba. Napenda kuwaambia watanzania, sisi ndio tunaoteseka, kwahiyo 25 octoba tufanye maamuzi sahihi kumchagua kiongozi sahihi kwa watanzania ili tusijutie baadae. Read more about Tufanye maamuzi sahihi ifikapo Octoba.