Ujenzi barabara ya Simu 2000 hadi Disemba Serikali imesema ujenzi wa barabara unayolalamikiwa na madereva ya simu 2000 na makubusho sokoni, unatarajia kuanza hivi karibuni, hivyo watumiaji wa bara bara wasubiri kwa kipindi hiki. Read more about Ujenzi barabara ya Simu 2000 hadi Disemba