Elimu ya utawala bora na haki itolewe - Vijana
Serikali imetakiwa kutoa elimu ya kina juu ya haki za binadamu na utawala bora, ili kuweza kuweza kuboresha hali ya ulinzi na usalama kwa vijana, na wananchi kuweza kushiriki katika kutoa ulinzi na usalama nchini
