Name: AYUBUNapenda kuwaambia watanzania, sisi ndio tunaoteseka, kwahiyo 25 octoba tufanye maamuzi sahihi kumchagua kiongozi sahihi kwa watanzania ili tusijutie baadae.Category: Hamasisha