Barakah kumalizana kiaina na Kid Bway Staa wa muziki Barakah da Prince Star wa muziki Barakah da Prince amelitolea ufafanuzi suala la yeye kuingia katika makubaliano ya usimamizi wa kazi zake za muziki na kampuni nyingine ambayo imeonekana kumvutia star huyo nchini. Read more about Barakah kumalizana kiaina na Kid Bway