Kiingilio cha chini Simba na Yanga Elfu 7

Baraka Kizuguto, Afisa habari TFF

Viingilio vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ni shilingi elfu saba (7,000).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS