Kiprotich, Leah ndani ya filamu
Mrembo aliyekuwa anashikilia taji la Miss Uganda, Leah kalanguka na mwanariadha maarufu wa nchi hiyo Stephen Kiprotich wamejipatia nafasi ya kuigiza katika moja ya projekti kubwa ya filamu inayotambulika kwa jina SIPI ambayo inatayarishwa huko nchini

