Director hana stori nzuri kuliko msanii- Harmonize Msanii Harmonize amesema video nyingi za wasanii toka East Africa hazifanyi vizuri kutokana na wasanii kuamini director anaweza kuwa na stori nzuri kuliko msanii, jambo ambalo sio kweli Read more about Director hana stori nzuri kuliko msanii- Harmonize