Stars yaweka imani ya ushindi leo kwa Algeria
Timu ya Taifa ya Tanzania leo usiku saa 1:15, sawa na saa 3:15 kwa saa za Afrika Mashariki itashuka Uwanja wa Mustapher Tchaker dhidi ya Algeria katika mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu kwa fainali za kombe la Ddunia mwaka 2018 nchini Urusi.